Chid Benz baada ya kimya cha
muda mrefu kesho August 13 2013
anatarajia kuachia single yake mpya ambayo mpaka sasa bado hajaipa.
Karekodi single hiyo baada ya
kutoka Kenya alikofanya kazi pamoja na Nonini.
Mkali kutoka La Familia bado anasema baada ya kukaa kimya kirefu na mashabiki
wake kummiss sana, anakuja na kitu ambacho watamuelewa Chid Benz yule wa Dar es salaam stand up.
“Nimerekodi ngoma na Ommy Dimpoz
lakini watu wangu wa karibu
wamenishauri kutoa ngoma hii ambayo nimefanya kwa Ema the boy na ndani yake nipo peke yangu, kesho watu wangu
watapata nafasi ya ku-download
hapahapa”.
Chanzo millardayo.com
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments