Saturday, August 10, 2013

Mazishi ya aliyekuwa kaimu kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Katavi katika kata ya mzumbe, wilaya ya Mvomero


Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji waliwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kaimu
Kamanda wa Jeshi hilo mkoa wa Katavi,
Mrakibu msaidizi,
Mohamed Madulika, mara baada ya
kifikishwa nyumbani kwake , Kijiji cha
Mikongeni, Kata ya Mzumbe, Wilaya ya
Mvomero, mkoani Morogoro kwa ajili ya
utaratibu wa mazishi , Madulika
alifariki dunia kwa ajali ya gari Augoti
5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga
wakati akielekea mkoani Katavi akitokea
Jijini Dar es Salaam na mazishi yake
yamefanyika Augost 8, mwaka huu
kijijini hapo.


Baadhi ya Maofisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Majeshi mengine , wakitoa saluti
ya heshima ya mwisho mara baada ya kukamilika kwa mazishi ya Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji wa mkoa wa Katavi, Mrakibu
msaidizi, Mohamed Madulika,
katika makaburi ya Kijiji cha
Mikongeni, Kata ya Mzumbe, Wilaya ya
Mvomero, mkoani Morogoro , Madulika alifariki dunia kwa ajali ya gari Augoti
5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga
wakati akielekea mkoani Katavi akitokea
Jijini Dar es Salaam na kuzikwa Augost
8, mwaka huu Kijiji hapo.
Source michuzi blog

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments