Majembe ikiwa ni muunganiko wa members toka Vatoloco na Nako2Nako, BouNako pamoja na FidoVato, wanatarajia kuachia track yao mpya ya "Mi Najua" mapema mwezi huu agast 2013.
Track hiyo ya "Mi Najua" itakayodrop Uraiani rasmi tarehe Tano mwezi huu, Mdundo huu umeundiwa pande za noizmekah.com na vocal + mixing kumaliziwa pale pale kwa Dx aka defxtro, hii ni hardcore hiphop joint kwa ajili ya Mashabiki wa dhati,
Concious Joint yenye ujumbe wa kweli na chorus itayokupa mzuka wa Kubounce.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments