Wakati mwezi wa mtukufu wa Ramadhani unaendea ukingoni na watu wakiwa katika maandalizi ya kuikaribisha sikukuu ya Idd maduka sasa yafungwa saa 4 usiku.
Kwenye picha hapo juu ni Barabara ya 13 maarufu kwa maduka ya nguo harakati za shoping zikiendelea majira ya usiku.
My Blog Name
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments