Friday, August 9, 2013

Kutoka Kwa Izzo Buzness 'Love Me Dance ' Inakuhusu


Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Izzo Business ambaye kwa sasa kazi yake inayokwenda kwa jina Love Me inafanya vizuri kwenye chati mbalimbali ,
katika hatua ya kujisogeza karibu na mashabiki wake na pia kuitangaza kazi hii zaidi, ameamua kuanzisha mpango unaokwenda kwa jina Love Me Dance

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments