Wasanii wanaokuja kwa kasi kwenye game toka Arusha
Wasanii watatu chipukizi akiwemo Babulwa wanaoiwakilisha Arusha katika anga ya BongoFleva kwa wimbo wao "Ruka Ruka" kupitia lebo yao ya Arusha Homboys
wanaomba support yako mdau wa music, download wimbo huu HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments