Friday, August 9, 2013

Msanii Richie101 atoa brand new hit ft Grandmaster "Champagne"


Msanii Richie101 toka Arusha akimshirikisha Jordan toka Grandmaster,Ngoma inaitwa Pop Champagne ilio rekodiwa Noizmekah Studios chini ya DefXtro juu ya beat ya Moscow wa New Way Music, sikiliza/Kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Richie101 kupitia simu nambari +255 758 463 818 au +255 766 513 202 kwa mahojiano pia, endelea kusupport muziki wa Tanzania, powered by www.vmgafrica.comd=1

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments