Thursday, August 15, 2013

Brand new hit ya Vatoloko Gangz ft Dipper


Vatoloco Gangz toka Arachuga wakiendeleza harakati za Mixtape yao, pata ngoma nyingine inaitwa "Stop Following" ambayo wameshirikiana na mwanadada Dipper HAPA kwa mawasiliano/Mahojiano/Manunuzi ya Tshirts na CD au mengi zaidi check na Vatoloco Gangz KUPITIA +255 769 010 005 na Mwanadada Dipper Kupitia +255 765 852 314 powered by www.vmgafrica.com

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments