Friday, August 9, 2013

Picha kali za kitaa Eid Mubarak


Picha ya juu na chini ni mwanadada Hanifa Kessy akiwa ametokelezea.
Farida Abdalah Jengo akiwa katika pozi la Eid Mubarak

Furaha ya sikukuu ni kujumuika na watoto.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments