Kundi chipukizi toka MoshiTown,Gaza Cross na wimbo wao wa "MASOJA" mahadhi ya Dancehall/Kwaito wakiwakilisha vema muziki wa kaskazini Duniani kote,pata kuusikiliza
HAPA,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Gaza Cross kupitia +255 759 683 576 powered by
www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments