Tuesday, June 25, 2013

Nyumba yabomolewa barabara ya 9 Tanga, wenyeji waendeleza makazi.

Takribani wiki ya pili sasa tangu Nyumba hii iliopo barabara ya 9 mjini Tanga Ilipovunjwa kwa madai kuwa imeuzwa laikini wenyeji bado wanaendeleza makazi katika nyumba hiyo.

Published with Blogger-droid v2.0.10

1 comment:

  1. Nadhani story hii imejirudia tena barabara ya 12 ambapo nyumba ingine imevunjwa kwa madai km haya. Sijui kuna nini Tanga

    ReplyDelete

Toa maoni yako/ Leave your comments