Wednesday, August 14, 2013

Kundi chipukizi toka MoshiTown,Gaza Cross na wimbo wao wa "MASOJA"


Kundi chipukizi toka MoshiTown,Gaza Cross na wimbo wao wa "MASOJA" mahadhi ya Dancehall/Kwaito wakiwakilisha vema muziki wa kaskazini Duniani kote,pata kuusikiliza HAPA,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Gaza Cross kupitia +255 759 683 576 powered by www.vmgafrica.com

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments