Wednesday, August 14, 2013

Swahili Redio kuanza kurusha matangazo hivi karibuni toka Washington Dc

Alex Kassuwi akiweka mitambo sawa wakati
wa majaribio


Wakurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex na
DMK wakiendesha kipindi cha majaribio hewani


SWAHILI RADIO
Ni Radio iliyoanzishwa Jijini Washington DC
USA na Kampuni ya "MMK MEDIA GROUP LLC "
ambao wanamiliki Swahili Radio On
Line,Swahili TV on Line,Swahilitv Blog, Swahili
Magazine USA-AFRICA,na The Bridge Show
ndani ya DCTV.
Radio hii pamoja na TV ziko kwenye majaribio
kwa sasa na zitaanza kuwa hewani kwa watu
wote kusikiliza na kuangalia punde muda wa
majaribio utakapo malizika.Watanzania hao
watatu wote kwa pamoja wanayofuraha kubwa
kwa jinsi ambavyo majaribio ya kazi hizi
yanavyoendelea na kwa kingereza wanasema
THEY CAN'T WAIT TO BRING TO YOU WHAT
YOU HAVE BEEN WAITING FOR.
"PROGRAMS ZA RADIO KWA KUANZIA"
*BIASHARA NA UCHUMI*
* BURUDANI NA....endelea

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments