Friday, August 2, 2013

Wema Sepetu anataka kuimba


Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka
kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba
anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo
ameshaandika mistari kadhaa ya
anachotaka kuimba. Wema alishawahi
kuimba kwenye wimbo wa kuhamasisha
kumchangia msanii Sajuki wakati
anaumwa. Wimbo huo unaitwa “Mboni
yangu”, so kuingia kwenye booth kurekodi
wimbo sio kitu kipya kwa Wema Sepetu.
Hii ni baadhi ya mistari ambayo
ameshaandika Wema Sepetu kwa ajili ya
wimbo huo.
Mwambie wake ni mimi, na kwangu
moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie
bado silali kutwa nawaza penzi langu… ila
siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe
Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema
alirekodi kwa kushirikiana na Snura
ambapo Tunda Man alishiriki pia
kuuandika.
Chanzo http://millardayo.com
My Blog Name

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments